iqna

IQNA

ahmad khatami
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
IQNA-Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amezungumzia jinai ya kigaidi ya Kerman na kukiri kundi la kigaidi la ISIS au Daesh kuhusika na hujuma hiyo na kusema: ISIS ni chombo cha Marekani na utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3478153    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/05

Watetezi wa Palestina
TEHRAN (IQNA)-Imamu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran ameashiria mpango wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kutatua kadhia ya Palestina kwa njia ya kura ya maoni kwa msingi wa "kila Mpalestina ana kura moja", na kusema: Maneno yetu ni ya kimantiki na ya kidemokrasia.
Habari ID: 3478008    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/08

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran ametaja kufeli Marekani katika kuziunganisha nchi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni ushindi au nusra kutoka kwa Mwenyezi Mungu na akaongeza kuwa: "Kumfuata Wali ul Amr wa Waislamu na Hujja za Kisharia ni mfano wa usaidizi wa Mwenyezi Mungu."
Habari ID: 3476960    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/05

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, Idara ya Mahakama iwachukulie hatua kali waliohusika na kuwapa sumu wanafunzi.
Habari ID: 3476684    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/10

Khatibu wa Sala ya Ijumaa
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesema kuwa, matembezi ya Bahman 22 (Febrauri 11) ambayo yatafanyika kesho Jumamosi katika kona zote za Iran kuadhimisha mwaka wa 44 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, kwa taufiki na uwezo wa Mwenyezi Mungu yatakuwa ni muhuri wa ushindi wa wananchi wa Iran ya Kiislamu dhidi ya njama zote za maadu
Habari ID: 3476541    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/10

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema mustakabali wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran hii leo umeng'ara zaidi kuliko wakati wowote ule.
Habari ID: 3475967    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/21

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN(IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran Hujjatul Islam Sayyid Ahmad Khatami amesema kwenye khutba za Sala ya Ijumaa kwamba, kufariki dunia mwananchi yoyote Iran jambo la kusikitisha na inabidi kuipa mkono wa pole familia ya marehemu.
Habari ID: 3475826    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/23

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran amesema kuwa, wanawake Wairani wameweza kunawiri katika sekta za kielimu, kisiasa, kiuchumi na usimamizi huku wakiwa wanazingatia Hijabu, vazi la staha la Kiislamu jambo ambalo limewakasirisha maadui.
Habari ID: 3475555    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/29

IQNA-Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amesema kuwa taifa la Iran halitauamini utawala wowote unaoingia madarakani huko Marekani.
Habari ID: 3470670    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/12

Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesisitiza kuwa utawala wa Aal Saud haustahiki kusimamia Haram Mbili Tukufu za Makka na Madina.
Habari ID: 3470341    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/28

Khatibu wa Sala ya Ijumaa
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesistiza kuwa taifa la Iran litaendeleza mapambano na halitosalimu amri mbele ya matakwa ya madola ya kibeberu.
Habari ID: 3470213    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/25